Natafuta gari ya kufanyia kazi, iwe ya hesabu au mkataba

Natafuta gari ya kufanyia kazi, iwe ya hesabu au mkataba

GoldenboY110

New Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
3
Reaction score
3
DEREVA WA UBER NATAFUTA GARI

dereva wa uber mwenye uzoefu wa muda mrefu natafuta gari ya kufanyia kazi iwe ya hesabu au mkataba ni maelewano tu. nipo Dar Es Salaam..nakubali gari ya aina yoyote ilimradi imekidhi vigezo vya uber. Asanteni
kwa mawasiliano 0756002927
 
DEREVA WA UBER NATAFUTA GARI

dereva wa uber mwenye uzoefu wa muda mrefu natafuta gari ya kufanyia kazi iwe ya hesabu au mkataba ni maelewano tu.
0756002927
1- Pendekeza aina kadhaa za gari zenye ungependa uzipate.
2- Toa kiwango cha ofa yako kwa siku/wiki.
3- Ahinisha penye mahali unapatioana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom