mohamed habibu
Member
- Jun 16, 2019
- 28
- 14
Natafuta gari ya kufanyia kazi na kupeleka hesabu kwa boss. Iwe ya biashara account ninayo ya Uber pamoja na Bolt
0719013003 au 0622941452
Mohamedhabibu075@gmail.com
- Leseni ninayo iko active
- Tutaandikiashiana kwa mjumbe ili uaminifu uwepo
- Barua ya utambulisho serikali za mitaa nitaambatanisha
0719013003 au 0622941452
Mohamedhabibu075@gmail.com