Natafuta gari ya kufanyia kazi ya Uber na kuleta hesabu

Baadaye mnaanza kuzingua balaa. Ina Mana ulikuwa na gari sema labda boss akachukua.
Gari ya biashara shidaa huwa ni dereva Ila huwa Ina hela sio sawa na haya maduka ya rejareja
 
Baadaye mnaanza kuzingua balaa. Ina Mana ulikuwa na gari sema labda boss akachukua.
Gari ya biashara shidaa huwa ni dereva Ila huwa Ina hela sio sawa na haya maduka ya rejareja
Sina gari kwa sasa nilisafiri kwa miezi sita siko dar kwa matatizo ya kifamilia na gari nilikuwa nalo boss kampa mwengine sasa hapo chief nitakuwa nimezingua nini....sawa kweli madereva wanazingua ila kwa mtu anaejitambua na kujielewa hawezi akauchezea ugali wake mwenyewe wanao uchezea ugali wao ni wale ambao hawana majukumu kula kwa baba na kulala kwa baba....ukimpata mtu anae jua maisha chief hawezi kufanya kitu cha ajabu kamwe chief
 
Hii kwa siku unaweza ingiza kiasi gani
 
Binafsi ninatamani nimkabidhi mtu gari yangu (vitz new model) afanye uber ila nikifikiria iinsi gari litakavyochakazwa ndani ya muda mfupi pamoja na usumbufu wa vibali sijui Latra mwishowe naona Bora nitulie tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta mtu sahihi na yule mwenye uchungu wa kitu cha mtu maan kwamba mtu ana jali kitu cha mtu kama chake vile pia na yule anae jua maisha ni nin na anafanya nin...ukipata mtu wa aina iyo basi utapata raha sana
 
Acheni uwoga kama umeamua kuingia kwenye hiyo biashara ingia.

Mwenye Noah, Hiace ama Coaster zenye AC na well maintained anicheck pia tuweze piga kazi.
 
Oya jamaa nimeona tangazo uko bolt wanataka wafanyakazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…