ndongandonga
New Member
- Dec 19, 2019
- 4
- 4
hili nalo neno, asante
kwema wakuu, nko dar natafuta gari ya mkononi, bajeti 4-5M, vitz/Glanza/carina......nk..cc900-cc1500.. Sihitaji yenye piston 3, ukinirushia picha DM ntashukuru zaidi.
Ipo Toyota premio cc 1490, Bei Milioni 8kwema wakuu, nko dar natafuta gari ya mkononi, bajeti 4-5M, vitz/Glanza/carina......nk..cc900-cc1500.. Sihitaji yenye piston 3, ukinirushia picha DM ntashukuru zaidi.