Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
habari wana jamii..natafuta gari aina ya toyota vitz, carina, rav 4(3doors), raum...iwe nzuriambayo haijatumika sana...my budget is 4mil...
contact 0712 392134
fidel una aina gani ya gari?niongeze shs ngapi?
dah kweli huu mwaka itabidi niumalizie tu kwa daladala cz kumbe gari ndiyo bei hivyo...haya
Ongeza dau nikuletee mkoko
Mpwa umeshakuwa dealer cku hizi?:becky:
Mimi ninayo Suzuki Escudo nomade bei M.14, Rau M.9 Vitz M.8 kama upo tayari magari yanaingia mwezi huu kutoka Japan
ahahahahahaaaa...mkuu hapa kwa hiyo 4m yako hupati gari...ila kama vipi nipigie kiaina nikupe mchongo upate magari mapya ya voda...si unajua kila kitu hapa mjini dili...vuta mkoko wa voda watu wale hiyo 4m yako walinde hishma zao kwa nyumba ndogo na baaa... mujini mipango ..ohhh..habari yako banyaaaaaaaa
Habari yake banaaaa!!ahahahahahaaaa...mkuu hapa kwa hiyo 4m yako hupati gari...ila kama vipi nipigie kiaina nikupe mchongo upate magari mapya ya voda...si unajua kila kitu hapa mjini dili...<b>vuta mkoko wa voda watu wale hiyo 4m yako walinde hishma zao kwa nyumba ndogo na baaa</b>... mujini mipango ..<b>ohhh..habari yako banyaaaaaaaa</b>
Acheni bwana mnajua nakunya valuu ikinipalia???maana nacheka mbavu sina baa wananishangaa!!mi ninayo jiyo starlet ntakuuzia kwa sh million 1.5 ila ntakutambulisha pia na mafund ufahamiane nao na garage ambayo wameizoea hiyo gari. usidhan ina tatizo la hasha bas tu ndugu yangu nauza sabab nahitaj sana pesa.