drphone JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 3,542 Reaction score 290 Jan 18, 2011 #21 lonesome said: mi ninayo jiyo starlet ntakuuzia kwa sh million 1.5 ila ntakutambulisha pia na mafund ufahamiane nao na garage ambayo wameizoea hiyo gari. usidhan ina tatizo la hasha bas tu ndugu yangu nauza sabab nahitaj sana pesa. Click to expand... yani mkuu nimependa maelezo yako yani upo wazi kiasi kwamba wote wanaouzaga vmeo wangekuwa kama ww wala shida isingekuwepo
lonesome said: mi ninayo jiyo starlet ntakuuzia kwa sh million 1.5 ila ntakutambulisha pia na mafund ufahamiane nao na garage ambayo wameizoea hiyo gari. usidhan ina tatizo la hasha bas tu ndugu yangu nauza sabab nahitaj sana pesa. Click to expand... yani mkuu nimependa maelezo yako yani upo wazi kiasi kwamba wote wanaouzaga vmeo wangekuwa kama ww wala shida isingekuwepo
Masika JF-Expert Member Joined Sep 18, 2009 Posts 723 Reaction score 30 Jan 19, 2011 #22 Hivi hii biashara imeshakamilishwa maana kuna mahali ipo ya dili
Zipuwawa JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 3,050 Reaction score 656 Jan 24, 2011 #23 mimi nataka rava4 ila iwe ya mwaka 2000 naomba mchanganuo wa bei zake maana najua rava4 zipo za aina nyingi.
mimi nataka rava4 ila iwe ya mwaka 2000 naomba mchanganuo wa bei zake maana najua rava4 zipo za aina nyingi.