Ipo canter mkuu milioni 17.5 nipo dar nitafute harakaHabari?
Nataka gari ya kubebea mizigo ya shamba, kama mbolea , magunia ya mahindi nk kwa bajeti isiyozidi 20M . Naweza kupata gari gani? Napatikana Tunduma , songwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pls weka picha za Canter (injini, body, tail, springs, cabin, etc). Weka na specification za injini pls