NATAFUTA GENERATOR AINA YA HONDA USED:-

NATAFUTA GENERATOR AINA YA HONDA USED:-

BROTHER OF BROTHERS

Senior Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
113
Reaction score
159
Habari za Muda Huu wanajukwaa. Kulingana na changamoto za kukatika Kwa Umeme Kila Baada ya nusu Saa, Sasa nimenyoosha mikono na nimesalimu Amri wakuu.
Tafadhali Sana Naomba mdau mwenye Generator nzuri aina ya Honda aniuzie ili niweze kuendelea kuuza movie Hapa kijijini. Nina Computer 2, Photocopier 1 kubwa na Laminator mashine 1. Maisha yamekuwa magumu Sana Sasa natumia Plan B+.
Tafadhali Naomba Iwe kwenye hali nzuri kabisa ingawa ni USED......Nina Cash 300,000/- Tafadhali ni Pm au WhatsApp 0739115313 Karibuni kabisa kabisa
 
Back
Top Bottom