BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,122
- 4,060
Nimepata maumivu baada ya kuisahau mahali kwa sekunde chache simu yangu ya Nokia 95, niliyokaa nayo kwa miaka minne na niliyoipenda sana hasa kutokana na camera yake ya 5.8 pixels, ikapata 'Muwekezaji'!
(Napinga sana Vibaka kupigwa kiberiti lakini huyu, ningechangia petroli!)
Anyway, Ninaomba kujua ni wapi ninaweza kupata genuine Nokia 95 8GB na bei yake. Natanguliza Shukurani.
(Napinga sana Vibaka kupigwa kiberiti lakini huyu, ningechangia petroli!)
Anyway, Ninaomba kujua ni wapi ninaweza kupata genuine Nokia 95 8GB na bei yake. Natanguliza Shukurani.