Pole sana kaka! Hatamimi natumia simu kama hiyo mara kuiona dukani ilikuwa 6,50,000/=. Iwapo utapata nyengine ni PM kuna software unatakiwa u install kwenye simu yako kama mwizi au alieikona sio mtaalam, kuna 75% ya kuipata simu. Niliitumia software hiyo kwenye my old phone nokia n70. Baada ya siku 6 simu ilipatikana.
mpenzi wa N95 8GB NINGEPENDA KUKUSAIDIA KAMA UPO SERIOUS NA HII SIMU NIPO NAYO KARIBU NAMPYA MIMI SIKUIPENDA KUTOKANA NA UNENE WAKE NIMEIWEKA TU NATEGEMEA KUSHUKA BONGO TAREHE 20 MWEZI HUU WEKA LAKI NNE TU KWA AJILI YA POCKET MONEY YANGU NIKUACHIE SITANII .IPO NA GENUINE LETHER CASE ,HEAD PHONE , ORIGINAL CHARGER NA CD BOX SITABEBA KAMA UPO SERIOUS WEKA NO YA SIMU πound: