ommytk JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 520 Reaction score 1,143 Jul 30, 2020 #1 Wadai mambo vipi. Nina shida natafuta gia box ya Toyota Cami mwenye nayo naomba tuwasiliane. Toyota Cami GearBox
Wadai mambo vipi. Nina shida natafuta gia box ya Toyota Cami mwenye nayo naomba tuwasiliane. Toyota Cami GearBox
Ettore Bugatti JF-Expert Member Joined Aug 28, 2017 Posts 4,123 Reaction score 8,242 Jul 30, 2020 #2 ommytk said: Wadai mambo vipi. Nina shida natafuta gia box ya Toyota Cami mwenye nayo naomba tuwasiliane Click to expand... Nenda maduka ya spare za magari utaikuta hiyo gia box.
ommytk said: Wadai mambo vipi. Nina shida natafuta gia box ya Toyota Cami mwenye nayo naomba tuwasiliane Click to expand... Nenda maduka ya spare za magari utaikuta hiyo gia box.
Lyamber JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 11,716 Reaction score 18,828 Jul 30, 2020 #3 Kwani hio gia box iliopo humo kwenye gari ina tatizo gani?
S Stayfar JF-Expert Member Joined Jan 11, 2016 Posts 1,088 Reaction score 2,287 Aug 5, 2020 #4 Nenda ilala kwa wapemba,mtaa wa Songea
Obama wa Bongo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 5,431 Reaction score 4,925 Aug 7, 2020 #5 tuwasiliane inbox nina gari cami naiuza