M MADARAKA DANIEL Member Joined Oct 26, 2012 Posts 93 Reaction score 22 Oct 27, 2012 #1 mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,naishi dar-es-salaam.umefika muda muafaka wa mimi kuwa na mtu wa kutengeneza naye future yetu,lakini awe na sifa zifuatazo awe na umri kati ya miaka 18-20 good physical appearance and facial expression angalau awe amemaliza form 4 na kuendelea mkristo ambaye ni mcha mungu wa ukweli awe na mpenzi ya kweli.
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,naishi dar-es-salaam.umefika muda muafaka wa mimi kuwa na mtu wa kutengeneza naye future yetu,lakini awe na sifa zifuatazo awe na umri kati ya miaka 18-20 good physical appearance and facial expression angalau awe amemaliza form 4 na kuendelea mkristo ambaye ni mcha mungu wa ukweli awe na mpenzi ya kweli.
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,132 Reaction score 31,149 Oct 29, 2012 #2 Umri huooo huo uchumba utadumu kwa miaka mingapi mpaka muoane??
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,540 Oct 29, 2012 #3 Edit heading yako