Natafuta Girl-friend wa NGUVU!!!

kobitree

Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
6
Reaction score
2
- Mimi ni kijana wa miaka 30.
- Sijaoa
- Nimeajiriwa na nina kazi nzuri tu.
- Natafuta binti / demu wa atakayekuwa girl friend wangu.
- Sina masharti yoyote: anaweza kuwa mweupe, mweusi, mrefu, mfupi, msomi/asiyesoma, n.k. Pia sichagui kabila, dini, wala chochote.
- Sana sana asiwe malaya au changudoa. Awe mtulivu. Pia akubali kupima UKIMWI.
- Lakini UMRI usizidi miaka 24. Hii ni lazima. Zaidi ya hapo atakuwa KUNGURU asiyefugika!!! Namtaka "a teachable sweethert".

Wale wale walio vyuoni au wanaotegemea kumaliza vyuo watapewa kipaumbele zaidi.
Kama una mawazo ya kuolewa itapendeza zaidi pia

Mengi tutaongea PM. Njooo!!!
 
Mkuu Mungu akupe hitaji la moyo,,

Najua mtaa kwa mtaa hujaona hahahah hahahah,,

Hao wa mtaani wengine ndo wamo humuhumu hahahah,,
 
Ha ha ha bado miezi 2 tu tufanye tathmini ya mwaka;mafanikio pamoja na changamoto
 
Ngoja waje ila angalizo wasije kukuchezea wakakumimina
 
Hivi kweli mkuu ume kosa mahali pa kutafutia mke paka unakuja humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…