Natafuta girlfrend

RUDEBWAY

Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
17
Reaction score
1
Natafuta girlfrend kweli nipo real, jaman mi kijana wa kitanzania nlie mpweke natafuta wa kuntoa upweke jaman, haya sifa awe mkaz wa arusha au mosh, napia asizid miaka 22, schangui din wala kabila
 
girlfriend wa kumfanyaje?
 
Haya ndo matatizo ya kujifanya nyoka wa kibisa, tema sumu ww upweke ukutoke.
 
huko mtaani wameisha?! Hawa wa digitali utawaweza kweli

aah wa mtaa ndo hawa hawa wadigital. Kwan wa digital wametokea wap? Another planet. Aah aise mi nipo real. Niunganishie hata dada ako bas
 
aah wa mtaa ndo hawa hawa wadigital. Kwan wa digital wametokea wap? Another planet. Aah aise mi nipo real. Niunganishie hata dada ako bas
Huyu mtoto nae sjui katokea wapi?
Hopefully sio kati ya wale waliofutiwa matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…