Natafuta girlfriend ambaye atakuja kuwa mke wangu

Natafuta girlfriend ambaye atakuja kuwa mke wangu

Yawilla13

Member
Joined
Nov 7, 2013
Posts
66
Reaction score
18
Hi guys hope all is well!

Natafta msichana ambaye badaye atakuja kuwa mke halali wa ndoa.

Sifa zangu nna fanya kazi mwajiriwa lakini pia nimejiajiri,
Elimu yangu; Masters,
Umri wangu 35 na above,

Nahitaji msichana mwenye sifa zifuatazo:
Age sio zaidi ya 35 lakini awe matured,
Rangi ya asili asiyetumia mkorogo nahitaji Natural
Kazi ni mhimu lakini sio lazima sana,

Mwenye uhitaji and matching my criteria please karibu PM

My regards
 
Nakuja mkuu, ila sifa ndiyo hizo tu za umtakaye au huko pm ndiyo vigezo vitaongezeka?
 
Hi guys hope all is well!

Natafta msichana ambaye badaye atakuja kuwa mke halali wa ndoa.

Sifa zangu nna fanya kazi mwajiriwa lakini pia nimejiajiri,
Elimu yangu; Masters,
Umri wangu 35 na above,

Nahitaji msichana mwenye sifa zifuatazo:
Age sio zaidi ya 35 lakini awe matured,
Rangi ya asili asiyetumia mkorogo nahitaji Natural
Kazi ni mhimu lakini sio lazima sana,

Mwenye uhitaji and matching my criteria please karibu PM

My regards
Hiii ndo ndoa sasa, hivi sijachelewa maana umejiwekesha tuvigezo tudogo sana sio mbaya.

Kwa nini mtu kama wewe nisikutane nae mitaani jamani?
 
Back
Top Bottom