🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nakuja mkuu, ila sifa ndiyo hizo tu za umtakaye au huko pm ndiyo vigezo vitaongezeka?
Hiii ndo ndoa sasa, hivi sijachelewa maana umejiwekesha tuvigezo tudogo sana sio mbaya.Hi guys hope all is well!
Natafta msichana ambaye badaye atakuja kuwa mke halali wa ndoa.
Sifa zangu nna fanya kazi mwajiriwa lakini pia nimejiajiri,
Elimu yangu; Masters,
Umri wangu 35 na above,
Nahitaji msichana mwenye sifa zifuatazo:
Age sio zaidi ya 35 lakini awe matured,
Rangi ya asili asiyetumia mkorogo nahitaji Natural
Kazi ni mhimu lakini sio lazima sana,
Mwenye uhitaji and matching my criteria please karibu PM
My regards