Fafanua hapo kwenye elimu,umesema chuo ni madrasa au?
Kila la kheri.
umri miaka 30, kazi sijapata....mimi nakushauri wewe utafute mume maana mke humuwezi
hili mi nina tatizo nalo,...ajue kutatua matatizo ya familia hata nikiwa mbali naye na kuchua maamuzi ya haraka, mfano mtoto anaumwa ampeleke kwanza hospital kabla ya kuanza kulia na kupiga simu ili apate matibabu mengine yafuate......
dhana nzima ya chuo inamaanisha universal education fikra ziko huko... ambayo always inapatikana university level katika degree ya kwanza... thanx for your wishing...
Wasifu wanguwasifu wa gf ninayemtaka
- rangi... mweusi
- uzito....70kg
- urefu...164cm
- kazi.... bado sijapata
- elimu.... ya chuo
- umri 30yrs
kwa aliye teyari tuwasiliane...
- ajue kufikilia, kutafakari na atambue zuri na baya
- aamini mungu yupo
- umri usizidi miaka 30 usipungue 18
- elimu form six with at least one principle au zaidi ya form six kifupi anafundishika...
- ajue kutatua matatizo ya familia hata nikiwa mbali naye na kuchua maamuzi ya haraka, mfano mtoto anaumwa ampeleke kwanza hospital kabla ya kuanza kulia na kupiga simu ili apate matibabu mengine yafuate...