Natafuta girlfriend ambaye atakuwa mke

Jack HD

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
851
Reaction score
1,168
Good day, habari zenu wana Jamii Forums.

For a time now nimekuwa Single but Now its a perfect time kuwa na mtu ambaye tutatengeza Family. I'm very serious on this na kama kweli unatafuta mwenza mwenye sifa kama zangu basi tumekutana.

SIFA ZANGU:

Elimu Degree holder in Logistics Management

Dini Muslim, age 24.

Kazi mwajiriwa.

Sifa Nyinginezo:


Si mwembamba wala si mnene, urefu wastani,skin colour maji ya kunde, mvumilivu, msikivu, muelewa, rijali na mtanashati.

Sifa za mwanamke ninayemuhitaji maishani:

1. Awe mzuri i.e mzuri wa sura na umbo, kiukweli napenda sana shombeshombe.

2. Awe mvumilivu, msikivu na mwenye busara.

3. Dini Muslim,mwenye kujihifadhi, Age less than 25.

4. Elimu not less than form six, but sometime its depend on some factors chini ya hapo pia maombi yanakaribishwa.

N.B Nimeamua kuyatoa ya moyoni ili nipate kile kipenda roho na kama nitajaaliwa hakika nitampenda na kumthamini, Nitamwonesha namna jinsi Mwanamke anavyopaswa kupendwa.Plese if you have above mentioned qualifications please PM me asap.Maongezi zaidi yataendelea via Whatsup.Shukrani, Jioni njema.:A S 101:
 
Nimesahau kitu kimoja. Awe anajua kupika maana mimi mwenyewe kwenye kukaangiza ni fundi haswaa!!
 
​kuwa makini humu kuna wanaume wanajidai wanawake kuna wanawake wanajidai wanaume
 
Hahahaaaaa wanaume wanaojifanya midumee? Hahaaa ili wanichune ama?
 
Jamani mpaka leo bhado sijabahatika. Naona kuna baadhi wanakuja kunijaribu tu. Niko serious krk hili nawe kama u are serious pls uoneshe userious wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…