Natafuta girlfriend atakaekuja kuwa mke

Hamijacko

Member
Joined
Sep 3, 2015
Posts
37
Reaction score
2
Naitwa Khamis naishi dar ni Doctor to be , Natafuta girlfriend atakaekuja kuwa my wife bdae, Awe na age kuanzia 18-24 yrs ,awe mwembamba wa wastan na ni muslim bt hata kama ni din tofauti it's k if atakuwa tayar kubadil din ili kuish na me. if upo tayar njoo PM ,my email hamijacko@gmail.com and my number is 0625562937 .Who would be my wife ?
 
Unakazi ya kukuuingizia kipato au unataka kusumbua madada zetu tu
 
Unakazi ya kukuuingizia kipato au unataka kusumbua madada zetu tu
Anae tafutwa ni mwanamke wa kujenganae life nasio anaeangalia kipato cha mtu kwanza, so humu kama wapo wanaoangalia kipato cha m2 I CAN'T BE WITH HER cz huyo atakuwa ni mboaji naco mjengaji and dat's y wengi wao wanaishia kuchezewa nakuachika cz wanakuta vimesha jengwa na hawajui vilijengwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…