Natafuta girlfriend/fiance kwa kupanga future

Natafuta girlfriend/fiance kwa kupanga future

joseph jamess

Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
79
Reaction score
10

[h=2]Natafuta girlfriend/fiance[/h]
Wanajamiiforum! mimi namtafuta girlfriend au Fiance ambaye tutaweza kupanga future yenye uhakika. Mimi nasoma BACHELOR OF LAWS mwaka wa tatu OUT University.

SIFA ZA ALIYETAYARI NI KAMA ZIFUATAZO;
Awe ana elimu kuanzia kidato cha nne
Awe mwenye kuelewa nini maana ya maisha
Awe mwenye hekima na nidhamu
Awe mpole na si mgomvi
Awe mwenye upendo wa dhati
Awe mwenye uvumilivu na mbunifu kwamba anaweza kunishauri kwa jambo lililo jema
Asiwe mwenye tamaa na kupotezeana muda
Awe na umri kati ya 20--31

ALIYETAYARI tuwasiliane kwenye namba zifuatazo: 0755 632388 au 0713 924282 au E-mail jkamala19@yahoo.com
 
^^
Haya wadada! Changamkeni..Bahati haiji mara mbili.
^^
 
Girfriend atakurudisha nyuma, panga kivyako. Hata akina billgate hawakupanga na wake zao!
 
Back
Top Bottom