Wewe mbona husemi miaka yako unataka wa 24 yrs je kama wewe ni 94 unaona kama ni sawa.Umesema unataka mwaminifu na mwenye akili timamu je wewe ni mwaminifu na una akili timamu? Wewe pia unavosema unataka mwaminifu unataka kumfungulia duka Kariakoo ama posta mpya