Hivi mtu unajitambuaje mwenyewe kuwa ni handsome?
nimecheka kweli kweli.mapenzi ya keyboard yana raha zakeUkiona mtu anamtafuta gf humu jf ujue mtaani kwao amekosa soko, atakuwa kapewa majina mengi mara fataki mara kijogoo. Endelea tu kumtafuta humu, utampata na mapenzi utafanya naye kupitia kwenye keyboard
Ukijitambua unaweza ukatumia vibaya uhandsome au ubeautiful wako....isitoshe watu wanasifia tu wengine hawako serious so kama ukachukulia ni kweli na kuanza kujigamba nadhani kuna kasoro.Anauliza kioo!!!
Kwani wewe hutambui kama una mvuto sana/wa kati au hauna kabisa???Kujitambua inapaswa kila mtu ajitambue...inasaidia sana self esteem.Tatizo ni kutamba kuhusu huo muonekano na sio kutambua muonekano wako uko vipi!!!
Ukijitambua unaweza ukatumia vibaya uhandsome au ubeautiful wako....isitoshe watu wanasifia tu wengine hawako serious so kama ukachukulia ni kweli na kuanza kujigamba nadhani kuna kasoro.