Natafuta girlfriend wa miaka 19 - 21

Tumbili wa mjini

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2024
Posts
1,125
Reaction score
2,233
Habarini wapendwa,

Mimi ni kijana wa miaka 23 natafuta girlfriend (19-21) awe mwembamba akiwa na English body itakua sifa ya nyongeza urefu wangu ni 120cm sikumbuki vizuri, asiwe mfupi rangi yake sijali kikubwa awe na mvuto hasa akitabasamu.

Awe muongeaji ila sio mbea, awe anasuka ila sio kuweka wigi pia awe na upendo wa dhati na kuheshimu, sijali dini wala level ya elimu, mkoa wowote
 
Rebeca kafeli?
 
Nna watatu na wote sitaki kuwaoa... Upo tayari kuhudumia nikuingize kwenye mtandao ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…