Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Marahaba mjukuuBibi KIZEE hujambo?
Tabulele πππ120 cm duh
πSipati pichaTabulele π
120cm!?? Si ni tindo hiyo.....Habarini wapendwa,
Mimi ni kijana wa miaka 23 natafuta girlfriend (19-21) awe mwembamba akiwa na English body itakua sifa ya nyongeza urefu wangu ni 120cm sikumbuki vizuri, asiwe mfupi rangi yake sijali kikubwa awe na mvuto hasa akitabasamu.
Awe muongeaji ila sio mbea, awe anasuka ila sio kuweka wigi pia awe na upendo wa dhati na kuheshimu, sijali dini wala level ya elimu, mkoa wowote
Kila la kheri Mr.Tu2Habarini wapendwa,
Mimi ni kijana wa miaka 23 natafuta girlfriend (19-21) awe mwembamba akiwa na English body itakua sifa ya nyongeza urefu wangu ni 120cm sikumbuki vizuri, asiwe mfupi rangi yake sijali kikubwa awe na mvuto hasa akitabasamu.
Awe muongeaji ila sio mbea, awe anasuka ila sio kuweka wigi pia awe na upendo wa dhati na kuheshimu, sijali dini wala level ya elimu, mkoa wowote
Tindo unatajwa na Mtoto ya Mtu huku.120cm!?? Si ni tindo hiyo.....
We tuliza maweseπSipati picha
120 cm kivipiπ€£π€£π€£sicheki mimiWe tuliza mawese
Ndio maana mimi nimeamua kufunga ndoa na vinywaji changamshiπNa wakiingia kwenye mapenzi wanapigwa na vitu vizito vizito
Uko wapi tuchangamke woteNdio maana mimi nimeamua kufunga ndoa na vinywaji changamshiπ
Haya mambo ya pesa umeanza lini na wewe kpnzMiaka 23 unatafuta gf mtandaoni, una pesa?
Nataka nile nyama yenyewe nimezichoka b29Mbona bado kijana mdogo au sabuni imekuchosha
Ushampata wa kukugegedua?Marahaba mjukuu
Angekua mrefu kidogo jaman πΉπΉKwa heshima na upendo wa dhati, kama vigezo na masharti haya yamekugusa, tafadhali jitokeze! Ila ukikutana na Tumbili wa mjini , kumbuka kuinama kidogo ili muangaliane vizuri uso kwa uso."
π
πππππ€£π€£π€£π€£kama ndo 120 cm mbn mfupi sana