Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ila nina vyeti vya taaluma. Kuna watu timamu na akili zao na madaraka yao ya kulevya, wakiambiwa waoneshe vyeti, wanalia haoooooo utadhani wanabakwahaa ha ha..wee jamaa ni mwehu
Hahaha jf ndiokilakitu lazma ucheketu hatakama umenunaBujibuji wa kike
Usijali Mimi Nina 53.. Twende sawa
Basi naomba niweze kuingia ndani ya moyo wakoNimecheka sana mbona bado sjafikia hata kua bibi binam hahahahahhahahaha niko kwenye hiyo range ya hiyo age hapo na amechelewa tayari
[emoji2]Girlfriend wakike au wa kiume?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Girlfriend wakike au wa kiume?