natafuta girlfriend

joskill

Member
Joined
Apr 7, 2011
Posts
52
Reaction score
10
natafuta msichana ambaye nataka awe partner wangu for mo info call 0713639371:israel:
 
Kuna kajukwaa kenu kule juu kanaitwa Love Connect, ndio wamejaa huko! Peleka hayo maelezo na hiyo namba ya simu huko, utapata tu kule wamejaa!
 
Kuna kajukwaa kenu kule juu kanaitwa Love Connect, ndio wamejaa huko! Peleka hayo maelezo na hiyo namba ya simu huko, utapata tu kule wamejaa!

Hahaha...mkuu hucheleweshi....mwambie akajaribu na Fesibuku kule...kuna wauza sura lukuki.
 
"Simu ya mteja unayopiga, haipo. Tafadhali, usijisumbue tena"
 
Nani alimwambi siku hizi girlfriend anatafutwa,siku hizi wao ndo wanatafuta,kama vp ajaribu Samunge!
 
unajua kwenye jamii forum kuna watu gani!!!???...........................

great thinker lakini si wa kutafuta wapenzi!
 
unajua kwenye jamii forum kuna watu gani!!!???...........................

great thinker lakini si wa kutafuta wapenzi!
 
Mbona hili jukwaa ndio love connect? Unataka akaulize wapi? Hapa ndipo mahali sahihi pa swali lake.
 
Mbona hili jukwaa ndio love connect? Unataka akaulize wapi? Hapa ndipo mahali sahihi pa swali lake.

me nawashangaa hao, me niko mahali penyewe kama hawataki c wakae kimya, alllah!!!
 
utapata uwe mvumilivu tu.mweka date line usije ukawakimbia wakijitokeza wengi.......
 
mchumba bila vigezo ukipata asiye na sifa utafanya je? ukimkataa bila sababu utaonekana ulikuwa unawasanifu wajitokeze uwachore tu, kuwa makini na suala lako.
 
Hivi hata kusoma majina ya majukwaa mnashindwa? Kama vipi vaa miwani uelewe vizuri sehemu ya kutafuta wachumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…