simon baker
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 562
- 768
Simu ipo samsung j1 mini nipo dar nichekhabari,
Nipo mbeya mjini natafuta godoro, budget kuingana na ukubwa na hali ya godoro...
simu smartphone budget simu ni 100,000 isiwe tecno...
contact- hapa hapa weka namba yako ya sim na ulichonacho nitakutafuta
Utasababisha watu wengi sana waibiwe wewehabari,
Nipo mbeya mjini natafuta godoro, budget kuingana na ukubwa na hali ya godoro...
simu smartphone budget simu ni 100,000 isiwe tecno...
contact- hapa hapa weka namba yako ya sim na ulichonacho nitakutafuta
mkuu nashukuru kwakunifungua, sikuliwazia hilo pia..ngoja nikakomae madukani...thread closed
vipi utaenda dubai tecno centre nini hahahahahahaaaa ntaipa simu wiki 3mkuu nashukuru kwakunifungua, sikuliwazia hilo pia..ngoja nikakomae madukani...thread closed