Natafuta Graduate wa kike wa kuoa. Sifa hizo hapo.

Kiganda

Senior Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
130
Reaction score
13
Awe mchaMungu, umri usizidi miaka 27, awe tayari kupima VVU, mweupe au maji ya kunde, mrefu wasitani, asiwe na watoto na hajawahi kuzaa au kuolewa, mtanzania, mzuri wa umbile, mcheshi, wafanyakazi wa benki au wahasibu watapewa kipaumbele. Kipato changu kwa mwezi ni 4m. Umri wangu 29yrs. Nawasilisha.
 
Huko mtaani kwenu umekosa?. Jaribu kuzunguka makanisa na misikitini utangaze nia yako. Ni bora kuliko hapa JF.
 
sifa zote ninazo sema mimi sio graduate
 
Huko mtaani kwenu umekosa?. Jaribu kuzunguka makanisa na misikitini utangaze nia yako. Ni bora kuliko hapa JF.

Bila kujalisha ni wapi nitampata muhimu zaidi awe na hizo sifa.
 

Weka picha yako kwanza!!warimbwende kama wakina sene... Wakuone.
 
Wapi Kiganda! nitakupataje aise, weka mawasiliano fasta, eeh Kiganda weee

 
I wish I wish I wish I wish, kwanini nilikimbia accounting? and kwanini bado nasoma? bad luck.

But all the best.
 

Umechelewa ungebandika tangazo pale UDSM sasa basi wamesha tawanyika
 
Mbona hujasema je awe bikra?au vyovyote poa 2.
Wataalamu wanasema bikira ya mwanamke inaweza kutoweka bila ya hata kukutana na mwanaume hivyo hicho siyo kigezo muhimu.
 
Nına rafk angu nı Banker,Graduate(Accountıng) na nı Mweupe wa kung'aa sıo calorıter! Nı mcheshı sana aısee,
Sema sasa anatıtı moja na ınasemekana nı mlozı balaa karıthı mıkoba ya Bıbı yake huko kwao Nyasa na sometımes hulımwaga kojo kwakıtanda!
Je, nıkuconnect?
 
Nina dada yangu sifa zote anazo ila yeye kipato chake ni 6m kwa mwizi cjui unasema je hebu niku pm kwanza.
 
Du mkuu hicho kipato chako kinawadatisha watoto wa kike sidhani kama utapata wa ukweli hapa ila cha kukushauri tembelea mikoani vijijini kuna mabinti wazuri sana kwa kuoa hawa wa mijini wengi magumashi
 
Dada yangu anaweza kuwa na sifa hizo tatizo ana matiti makubwa kama 'keep left' nikuunganishe?
 
jamani mbavu zangu za kushoto mieee!!
 
Huyo hatutaweza ishi maana muda wa kufundishana usafi sitakuwa nao. I'm too busy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…