Mi kwa kweli naona kama internet ni njia nzuri ya kukutana na watu ila sio njia ya kuanzisha uhusiano wa karibu... labda sababu mi mshamba sijazowea internet na kuifanya sehemu ya maisha yangu?offcourse yanadumu..or you think mimi na wewe hatutadumu?
Mi kwa kweli naona kama internet ni njia nzuri ya kukutana na watu ila sio njia ya kuanzisha uhusiano wa karibu... labda sababu mi mshamba sijazowea internet na kuifanya sehemu ya maisha yangu?
Nimekupata. Ila hata hapo pia, mi nina doubt sana na relation za mbali. zinaweza kuwork ila zinataka moyo.kweli haiwezekani kuanzisha uhusiano wa karibu wa karibu kwenye internet. labda mkutane kwanda face to face ndio muanze mambo yenu baada ya kujuana na kufahamiana vizuri.
hapa inabidi mkutane watu mnaoendana na wenye target zinazoendana .mkikutan wa aina moja hapo relaion itasimama.Nimekupata. Ila hata hapo pia, mi nina doubt sana na relation za mbali. zinaweza kuwork ila zinataka moyo.
@mwenye thread, tuna iweka weka hai ili ukija kesho uikute bado ipo ukurasa wa kwanza, I hope you don't mind. lol