K kichuminyi JF-Expert Member Joined Mar 4, 2014 Posts 234 Reaction score 173 Feb 11, 2017 #1 Naomba kujulishwa kama kuna mwenye kufahamu wapi kuna gym maeneo haya ya Temeke, mtoni, mbagala hadi chamazi, mbande.
Naomba kujulishwa kama kuna mwenye kufahamu wapi kuna gym maeneo haya ya Temeke, mtoni, mbagala hadi chamazi, mbande.
Kambaresharubu JF-Expert Member Joined Jan 5, 2014 Posts 335 Reaction score 449 Feb 11, 2017 #2 Oil Com Mataa ya Chang'ombe na Quality center
mkandumbwe JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 424 Reaction score 371 Feb 11, 2017 #3 Charambe kwa mbiku mkono wa kushoto mbele ya sheli kuna gym. Mimi huenda hapo pia.
K kichuminyi JF-Expert Member Joined Mar 4, 2014 Posts 234 Reaction score 173 Feb 11, 2017 Thread starter #4 mkandumbwe said: Charambe kwa mbiku mkono wa kushoto mbele ya sheli kuna gym. Mimi huenda hapo pia. Click to expand... Huwa naionaga nikipita lakini nilifikiria ni ya wabeba vyuma zaidi
mkandumbwe said: Charambe kwa mbiku mkono wa kushoto mbele ya sheli kuna gym. Mimi huenda hapo pia. Click to expand... Huwa naionaga nikipita lakini nilifikiria ni ya wabeba vyuma zaidi
mwanazuoni mgeni JF-Expert Member Joined Sep 11, 2016 Posts 1,944 Reaction score 1,726 Feb 11, 2017 #5 Temeke wailes na mtonj kwa azizi ally kuna gym
N ngakotecture JF-Expert Member Joined Dec 30, 2014 Posts 2,569 Reaction score 2,847 Feb 12, 2017 #6 na mimi wakuu naitaji kampani natafuta gym nipo mbagal kizuian
Tainya Senior Member Joined Feb 21, 2016 Posts 178 Reaction score 92 Feb 12, 2017 #7 mkandumbwe said: Charambe kwa mbiku mkono wa kushoto mbele ya sheli kuna gym. Mimi huenda hapo pia. Click to expand... Gharama kiasi gan mkuu
mkandumbwe said: Charambe kwa mbiku mkono wa kushoto mbele ya sheli kuna gym. Mimi huenda hapo pia. Click to expand... Gharama kiasi gan mkuu