Ilikuepo gym pale bungeni. Ila ikafungwa nasikia something like mmiliki alishindwa kulipa kodi. Kuna gym Dodoma hotel ila hakuna trainer, kuna vifaa tuu. Pia jirani na bunge kuna gym inaitwa Home Fitness, upande karibu na parking. Imefunguliwa sio muda mrefu sana. That means, hawana vifaa vya kutosha kivilee, wana class ya aerobics na vifa vingine vichache.