Natafuta Gypsum board za Thailand

Natafuta Gypsum board za Thailand

bagain

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2011
Posts
363
Reaction score
229
Habari wama JF,

Nina hitaji Gypsum board za Thailand, anayejua duka zinapopatikana au kama ni mfanyabiashara nijulishe.

Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam
 
Mnaouza Gypsum Board njooni huku kuna wateja, na mimi nazitaka niko Kibaha.
 
Back
Top Bottom