Natafuta Hand held mineral detector

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
6,829
Reaction score
1,303
Pamoja na mambo mengine mimi najishughulisha na uchimbaji nilianza na uchimbaji visima lakini sasa nataka kupanua shughuli zaidi kwenda kwenye madini.

hivyo natafuta hand held devices detector zenye uwezo wa kubaini umbalia na mahali yalipo madini mpaka kufikia kina cha mita 30 hadi 35 na chini ya hapo.

ziwe na uwezo wa ku detect gold; silver; gemstones nimeambiwa huko Zimbabwe hivi vitu vinapatikana nafuatilia lakini nikaona hapa JF ni rahisi zaidi.

Pia katika kuendeleza mradi wangu wa visima natafuta hand hled devices pia za ku detect maji chini ya ardhi katik umbali huo huo 30 to 35 meters.

huku kwenye mtandao nakuna na sources mbali mbali baadhi leads nimefanya mawasiliano nao lakini hawajarespond.
 
Tafuta hivi vifaa Geormics EM34-3 na Syscal R1 switch-48 vitakusaidia. Google them ujue bei yake na jinsi ya kuvi-import
 
pia katika ulizia nimeambiwa germany devices are among the best; Kuna JF members huko anaweza kusaidia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…