Natafuta hawa samaki aina ya Oyster

Natafuta hawa samaki aina ya Oyster

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,111
Reaction score
2,781
Wakuu wa Nchi,

Natafuta hao aina ya samaki konokono wanaitwa oysters, kwa watu walioko Tanga na Dsm, please naombeni msaada wenu kama unajua mahali wanauza hii aina ya samaki please.

Natanguliza shukrani kwenu
 
1448751106214.jpg 1448751079274.jpg 1448751052008.jpg
 
Wanauzwa bei kidogo china nakumbuka kuna mzambia yeye alikua anawafata south Africa wanakuwa washafungwa katika box..sema kuwasafirisha nje upate kibali usipoteze hela yako ukaambiwa deal tu ukurupuke..
 
nenda zanzibar wa kumwaga wapo tena wanauza mitaani
 
Hiyo biashara nishaifanya sana kuna wakati. Hao wa naitwa nyama ya au chaza. Nenda lindi na mtwara na ki kwa wanapatikana kwa wingi sana....cha kufanya nenda maeneo hayo katangaze kuwa unanunua, Utaletewa tu sehemu ulipo.

Kikubwa katia kibali kutoka Mali asili
 
Ulipata???
 
Duu kwa hiyo hao ni samaki sio wadudu?nasubiri vigeo vilivyotumika kuwaita samaki pweza,kamba,kasa,kaa,ngisi....
 
Back
Top Bottom