Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Ulipata???Hiyo biashara nishaifanya sana kuna wakati. Hao wa naitwa nyama ya au chaza. Nenda lindi na mtwara na ki kwa wanapatikana kwa wingi sana....cha kufanya nenda maeneo hayo katangaze kuwa unanunua, Utaletewa tu sehemu ulipo.
Kikubwa katia kibali kutoka Mali asili