Natafuta haya masanduku ya plastiki makubwa ya kuhifadhia bidhaa

Natafuta haya masanduku ya plastiki makubwa ya kuhifadhia bidhaa

Pantomath

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
842
Reaction score
3,449
Yawe Makubwa Angalau kama yale ma tranka ya shule makubwa. Yawe imara/magumu. Yawe mazima sio yaliyochakaa..

Nayaonaga mara nyingi kwenye kazi za kiserikali n.k

Nishawahi kuyaona sehemu kipindi yanauzwa k.koo,
Ila Mpk leo Yule muuzaji hayupo..

Jee Cello au jambo Wanaweza kua nayoo?
Screenshot_20230924_091231_Google.jpg
Screenshot_20230924_091612_Google.jpg
Screenshot_20230924_091127_Google.jpg
Screenshot_20230924_091107_Google.jpg
Screenshot_20230924_091719_Google.jpg
Screenshot_20230924_091155_Google.jpg
Screenshot_20230924_091502_Google.jpg
Screenshot_20230924_084745_Google.jpg
Screenshot_20230924_084745_Google.jpg
Screenshot_20230924_091502_Google.jpg
Screenshot_20230924_091155_Google.jpg
Screenshot_20230924_091719_Google.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20230924_084820_Google.jpg
    Screenshot_20230924_084820_Google.jpg
    12.2 KB · Views: 4
  • Screenshot_20230917_172133_Google.jpg
    Screenshot_20230917_172133_Google.jpg
    15.8 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230917_172110_Google.jpg
    Screenshot_20230917_172110_Google.jpg
    10.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230924_084726_Chrome.jpg
    Screenshot_20230924_084726_Chrome.jpg
    46.6 KB · Views: 4
Nishayatafutaga nikakosa, Kipindi flani wale Jamaa wanaoandikisha NIDA walikua nayo nikamwambia nitaftie uniuzie.

Nishayaona yamejaa kwenye Landcruiser imepaki, nikamfuata dereva jinsi ya kuyapata akanipa uchale,

Hebu nenda k.koo Pale Msimbazi ule uchochoro wanaouzaga rasta za jumla pia nishayaonaa.
 
Unayaona mara nyingi kwenye shughuli za kiserikali wakati mimi nawaona Wauza kitimoto wakiyatumia sana kusafirishia nyama ya mdudu.
 
Yawe Makubwa Angalau kama yale ma tranka ya shule makubwa,
Yawe imara/magumu.
Yawe mazima sio yaliyochakaa..

Nayaonaga mara nyingi kwenye kazi za kiserikali n.k

Nishawahi kuyaona sehemu kipindi yanauzwa k.koo,
Ila Mpk leo Yule muuzaji hayupo..

Jee Cello au jambo Wanaweza kua nayoo?View attachment 2760435View attachment 2760436View attachment 2760437View attachment 2760439View attachment 2760440View attachment 2760441View attachment 2760442View attachment 2760443
Kayaombe tume ya uchaguzi hayana kazi ......
 
Unayaona mara nyingi kwenye shughuli za kiserikali wakati mimi nawaona Wauza kitimoto wakiyatumia sana kusafirishia nyama ya mdudu.
Nafikiri na huyu anayahitaji kwa ajili ya kazi hiyo
 
Iwapo utashindwa kupata kwa hapa TZ

Basi tafuta kwenye hizi site (malizia na .com )
  • Made-in-china
  • Alibaba
  • Globalsources
View attachment 2760552
Ukisha pata model unayohitaji, Nipe kazi | Nitanunua + Safirisha + Delivery mahala ulipo.

Njia ya usafirishaji | Meli
Ghalama ya kusafirisha | Itatokana na CBM za mzigo huisika
Muda wa kufika Nchini | Wiki 5

Karibu
| Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Cheki na wauza nyama machinjio ya vingunguti niliona wanasafirishia nyama.
 
Yawe Makubwa Angalau kama yale ma tranka ya shule makubwa. Yawe imara/magumu. Yawe mazima sio yaliyochakaa..

Nayaonaga mara nyingi kwenye kazi za kiserikali n.k

Nishawahi kuyaona sehemu kipindi yanauzwa k.koo,
Ila Mpk leo Yule muuzaji hayupo..

Jee Cello au jambo Wanaweza kua nayoo?View attachment 2760435View attachment 2760436View attachment 2760437View attachment 2760439View attachment 2760440View attachment 2760441View attachment 2760442View attachment 2760443View attachment 2760443View attachment 2760442View attachment 2760441View attachment 2760440
FROM DUBAI.
DELIVERY TIME:1 WEEK
FOR MORE DETAILS
WHATSAPP +971527794329 View attachment 2761632
Screenshot_20230925-130543.jpg


Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom