Natafuta haya masanduku ya plastiki makubwa ya kuhifadhia bidhaa

Pantomath

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
842
Reaction score
3,449
Yawe Makubwa Angalau kama yale ma tranka ya shule makubwa. Yawe imara/magumu. Yawe mazima sio yaliyochakaa..

Nayaonaga mara nyingi kwenye kazi za kiserikali n.k

Nishawahi kuyaona sehemu kipindi yanauzwa k.koo,
Ila Mpk leo Yule muuzaji hayupo..

Jee Cello au jambo Wanaweza kua nayoo?
 

Attachments

  • Screenshot_20230924_084820_Google.jpg
    12.2 KB · Views: 4
  • Screenshot_20230917_172133_Google.jpg
    15.8 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230917_172110_Google.jpg
    10.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230924_084726_Chrome.jpg
    46.6 KB · Views: 4
Nishayatafutaga nikakosa, Kipindi flani wale Jamaa wanaoandikisha NIDA walikua nayo nikamwambia nitaftie uniuzie.

Nishayaona yamejaa kwenye Landcruiser imepaki, nikamfuata dereva jinsi ya kuyapata akanipa uchale,

Hebu nenda k.koo Pale Msimbazi ule uchochoro wanaouzaga rasta za jumla pia nishayaonaa.
 
Unayaona mara nyingi kwenye shughuli za kiserikali wakati mimi nawaona Wauza kitimoto wakiyatumia sana kusafirishia nyama ya mdudu.
 
Kayaombe tume ya uchaguzi hayana kazi ......
 
Unayaona mara nyingi kwenye shughuli za kiserikali wakati mimi nawaona Wauza kitimoto wakiyatumia sana kusafirishia nyama ya mdudu.
Nafikiri na huyu anayahitaji kwa ajili ya kazi hiyo
 

Cheki na wauza nyama machinjio ya vingunguti niliona wanasafirishia nyama.
 
FROM DUBAI.
DELIVERY TIME:1 WEEK
FOR MORE DETAILS
WHATSAPP +971527794329 View attachment 2761632

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…