Natafuta heka kumi za kulima mkonge

Habari zenu wakuu,
Jamani mwenye connection ya mashamba anisaidie, nataka kama heka kumi kwa ajili ya kulima mkonge, maeneo ya Tanga au Morogoro,
Yanayouzwa kwa bei rafiki
Asante
Tafuta shamba maeneo ya Kwedikwazu na Korogwe vijijini. Ila zingatia shamba liwe karibu na mobile(kiwanda cha kuchakata).
 
Morogoro maeneo ya Kimamba wanalima sana mkonge.
Pia Morogoro mjini ukipita Tungi ukaelekea maeneo ya mbele zaidi, wanakuita Bwawani, Kiegea kwachagiza Ngongere na Sangasanga. Huko pia mkonge unakubali. Bei ya ekari moja ni kuanzia laki 3 na kuendelea
 
Huku nakujua sana, changamoto huku mvua hazinyesha miaka mitatu , huko kiegea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…