B bigmukolo JF-Expert Member Joined Mar 6, 2012 Posts 602 Reaction score 2,241 Jul 15, 2019 #1 Kama kichwa kinavojieleza naulizia kwenu wadau kama kuna MTU anafahamu Herbicides spesho Kwa ajili ya kuua nyasi Na magugu kwenye pamba anisaidie nimechoka kupalilia Kwa jembe LA mkono...nawasilisha
Kama kichwa kinavojieleza naulizia kwenu wadau kama kuna MTU anafahamu Herbicides spesho Kwa ajili ya kuua nyasi Na magugu kwenye pamba anisaidie nimechoka kupalilia Kwa jembe LA mkono...nawasilisha