Natafuta hifadhi tz

Natafuta hifadhi tz

yohprince

Member
Joined
Oct 23, 2018
Posts
10
Reaction score
7
Jamen mm nko mombasa,nafanya mziki bt soko la huku liko katika hali mbaya sana.kwa io nimeonelea nifanye mziki njw ya nchi na nimedhamiria nije dar, je kuna yeyote wa kunikaribisha coz cjawahi kufika katika mji huo?
 
Wanaume wa dar na mombasa awatofautiani saaana ivyo uta wai kuzoea mazingira[emoji41][emoji41][emoji41]
1540470079094.png
1540470079094.png1540470079094.png1540470079094.png1540470079094.png1540470079094.png1540470079094.png1540470079094.png
 
Jamen mm nko mombasa,nafanya mziki bt soko la huku liko katika hali mbaya sana.kwa io nimeonelea nifanye mziki njw ya nchi na nimedhamiria nije dar, je kuna yeyote wa kunikaribisha coz cjawahi kufika katika mji huo?
Ipo kama Ngorongoro, Mikumi wewe chagua inayokufaa
 
kabla hujaja unafanya Aina gani ya mziki, kama unaimba mapenzi Baki uko uko wasanii wa nyimbo za mapenzi tunao wakutosha
 
alafu soko la Kenya halina master Wengi kama bongo huku ataapotea mazima regardless anaimba aina gani ya nyimbo
kabla hujaja unafanya Aina gani ya mziki, kama unaimba mapenzi Baki uko uko wasanii wa nyimbo za mapenzi tunao wakutosha
 
Jamen mm nko mombasa,nafanya mziki bt soko la huku liko katika hali mbaya sana.kwa io nimeonelea nifanye mziki njw ya nchi na nimedhamiria nije dar, je kuna yeyote wa kunikaribisha coz cjawahi kufika katika mji huo?
Mkuu,
issue siyo kukimbia tatizo..
issue ni kutafuta ufumbuzi wa kulikabili tatizo..
 
Am doin' gospel bruh!!
Don't worry bro gospel ipo vizuri and utapata mafanikio endapo utajituma tu.... Ila jishikishe kwenye kanisa fulani ili uzoeleke utasaidiwa even recording itakuwa bure maana church watahudumia
 
Back
Top Bottom