Wanaume wa dar na mombasa awatofautiani saaana ivyo uta wai kuzoea mazingira[emoji41][emoji41][emoji41]
My sweetheart mambo?Daaaah.. watu mna majibuu. Nimecheka kwa nguvu sana
My sweetheart mambo?
Niliugua ghafla nikashindwa kuja![emoji41][emoji41]......Leo nina hamu ya kukumbatia chura yako my sweertheart!Poa sweetheart. Jana mbona nimekuja rainbow haukuwepo
Niliugua ghafla nikashindwa kuja![emoji41][emoji41]......Leo nina hamu ya kukumbatia chura yako my sweertheart!
Ipo kama Ngorongoro, Mikumi wewe chagua inayokufaaJamen mm nko mombasa,nafanya mziki bt soko la huku liko katika hali mbaya sana.kwa io nimeonelea nifanye mziki njw ya nchi na nimedhamiria nije dar, je kuna yeyote wa kunikaribisha coz cjawahi kufika katika mji huo?
kabla hujaja unafanya Aina gani ya mziki, kama unaimba mapenzi Baki uko uko wasanii wa nyimbo za mapenzi tunao wakutosha
Mkuu,Jamen mm nko mombasa,nafanya mziki bt soko la huku liko katika hali mbaya sana.kwa io nimeonelea nifanye mziki njw ya nchi na nimedhamiria nije dar, je kuna yeyote wa kunikaribisha coz cjawahi kufika katika mji huo?
Gospel utafanikiwa ila nakushauri ujishikishe kwenye kanisa ,they will care youAm doin' gospel bruh!!
Don't worry bro gospel ipo vizuri and utapata mafanikio endapo utajituma tu.... Ila jishikishe kwenye kanisa fulani ili uzoeleke utasaidiwa even recording itakuwa bure maana church watahudumiaAm doin' gospel bruh!!
Lahaula lakwata....[emoji39] [emoji39]Poa sweetheart. Jana mbona nimekuja rainbow haukuwepo