Natafuta hii movie

Natafuta hii movie

Kiti Chema

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2017
Posts
1,793
Reaction score
1,961
Habari waungwana wa JF.
Nimekuwa mdau sana wa kucheki movie kwa mda mlefu tangu vidudu naweza sema hichi ndicho kilevi changu pendwa hasaaa.

Kuna movie moja yakizungu sikubahatika kuijua jina na niliiona vipande tu na nimekuwa naitafuta kwa mda mrefu bira mafanikio ngoja niielezee labda huenda kuna wakali humu Jf, wanaweza nisaidia pa kuipata.

Movie ilikuwa ya katoto kadogo kanakotambaa ambako wezi watatu walienda kukaiba kwenye nyumba ya tajiri furani ili wapige pesa walipo kafikisha geto kale katoto kakawatoloka na kukimbilia kwenye ZOO (mbuga za wanyama) mpaka kuna kishikaji kilipigwa kwenzi la mkono na golila aliyekuwa mle kwenye ZOO kisa alikuwa anakavuta katoto kamba za viatu.

Kwa atakaye ielewa movie hii naomba anisaidie jina lake au wapi pa kuidownload.

Natanguliza shukurani.
 
Baby day out. (1994)
Screenshot_20210611-200452.png
 
Umekua mdau mzur wakucheki movie tangu vidudu afu hiyo baby's day out hujawah kuiona kwel[emoji23]tafuta nyingne inaitwa home alone huenda nayo hujaiona[emoji125][emoji125]
 
H
Umekua mdau mzur wakucheki movie tangu vidudu afu hiyo baby's day out hujawah kuiona kwel[emoji23]tafuta nyingne inaitwa home alone huenda nayo hujaiona[emoji125][emoji125]
Hahahaha, home alone nisha iona mkuu sema kitambo sana kama 2013 kama sikusahau
 
Umekua mdau mzur wakucheki movie tangu vidudu afu hiyo baby's day out hujawah kuiona kwel[emoji23]tafuta nyingne inaitwa home alone huenda nayo hujaiona[emoji125][emoji125]

Mm nna mashaka kuwa huyu ni mdau wa movie kweli[emoji848]
 
Back
Top Bottom