Natafuta hii movies Gray's Anatomy

Fundi manyumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2018
Posts
3,799
Reaction score
8,063
Husika na kichwa cha barua hapo juu..

Sorry ni kichwa cha habari hapo juu...

Natafuta movies hiyo pendwa inayoitwa grey's anatomy kuanzi series ya 3 mpaka 20 kwa ambaye atanifanyia mpango nikapata basi kuna zawadi nono itatolewa.

Sitaki mawazo ya et nijiunge bando ni download. Huko pote nishaachana napo.

Kama unaweza ku download ukaleta mzigo kamili njoo inbox....
Tuelewane
 
Ukisoma uzi nimeelezea watu kama nyie ahahahaha

Mkuu hayo mambo yameshindikana
Sehemu nilipo kupata free WIFI ni ngumu
Kumbe unaishi kijijini hakuna wi-fi njoo mjini Kuna wi-fi nyingi mchawi ni nywila tu ( password ) πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kumbe unaishi kijijini hakuna wi-fi njoo mjini Kuna wi-fi nyingi mchawi ni nywila tu ( password ) πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Sasa kama mchawi nywila kuna tofauti gani na kijijini.

Ahahahahahhha alafu inaelekea we wa kuja mkuu et
 
Sasa kama mchawi nywila kuna tofauti gani na kijijini.

Ahahahahahhha alafu inaelekea we wa kuja mkuu et
Hapana me sio wa kuja ila nashangaa nchi ya Tanzania baadhi ya maeneo wi-fi mpaka nywila, sio kama nchi Za South Africa, Namibia, Botswana, Lesotho, Morocco, n k.
 
Hapana me sio wa kuja ila nashangaa nchi ya Tanzania baadhi ya maeneo wi-fi mpaka nywila, sio kama nchi Za South Africa, Namibia, Botswana, Lesotho, Morocco, n k.
Huko ni bure mkuu je ina speed ahahahhaha daah bongo nyoso kaka ooooh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…