wengi wanakosea kufanya maamuzi sahihi linapokuja hitaji la vyombo vya usafiri. wanataka upekee, yaani mtaani awe unique bila kujiuliza hali ma gharama za matunzo.
dude unalipanda siku 20 likivunja hata gear lever unasaka miezi 5 likiwa ndani we unatembea kwa mguu kisa uliogopa usichekwe kununua 'yebo yebo'