Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Tafadhali mwenye kujua hiki kifaa kinaitwaje na kinauzwa wapi anijuze. Kinafungwa kwenye gudulia linakuwa kama water dispenser na kinachajiwa, Chaja yake kama ya simu. Nimekikuta sehemu ambapo hakuna wa kumuuliza.