Restless Hustler JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 5,150 Reaction score 20,025 Sep 29, 2021 #1 Tafadhali mwenye kujua hiki kifaa kinaitwaje na kinauzwa wapi anijuze. Kinafungwa kwenye gudulia linakuwa kama water dispenser na kinachajiwa, Chaja yake kama ya simu. Nimekikuta sehemu ambapo hakuna wa kumuuliza.
Tafadhali mwenye kujua hiki kifaa kinaitwaje na kinauzwa wapi anijuze. Kinafungwa kwenye gudulia linakuwa kama water dispenser na kinachajiwa, Chaja yake kama ya simu. Nimekikuta sehemu ambapo hakuna wa kumuuliza.
Mtoto wawatu Member Joined May 17, 2019 Posts 16 Reaction score 7 Sep 29, 2021 #2 Inaitwa water filter' bei inategemea naubora zinaanzia kati ya 10,000 hadi 50,000 huko.... Marayamwisho niliziona little more...
Inaitwa water filter' bei inategemea naubora zinaanzia kati ya 10,000 hadi 50,000 huko.... Marayamwisho niliziona little more...
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Sep 29, 2021 #3 Upo Mkoa Gani?
aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 5,175 Reaction score 16,488 Sep 29, 2021 #4 Kama kiko sehemu na hakuna wa kumuuliza, basi kiibe.