bahati mbaya nimesahau jina na muandishi. kimechapishwa karl jamer kariakoo. kina ganda la kijani na kina samples za mikataba mbalimbali kama ya upangaji ,kununua nyumba nk. kama kuna sehemu ntakipata mbeya itakuwa fresh ila kama kuna mtu atanitumia toka dar pia siyo mbaya.