Umuofia kwenu!
Since when do women speak in Mvoutese!
Things Fall Apart.
Wakuu natafuta gari aina ya Honda Fit. Kama kuna mtu unamjua anauza nijulishe.
Gari iwe kwenye hali nzuri, maana nitakuja na fundi wangu mahiri. Mwaka kuanzia 2005 kupanda juu.
Bajeti yangu inategemea hali ya gari.
Au tufanye hivi, bajeti ina range 4m to 5m TZS.
mmewadadako
jerrybanks
Ndeko