Natafuta hospital yenye daktari mzuri wa koo

Natafuta hospital yenye daktari mzuri wa koo

tashyno abas

Member
Joined
Jul 8, 2015
Posts
12
Reaction score
8
Nitapata wapi specialist wa koo mzuri Dar es Salaam.

Inafika miezi mitano sasa nasumbuliwa na koo.
 
Hapo ni specialist wa ENT
sasa,

Ova
 
Nitapata wapi specialist wa koo mzuri Dar es Salaam.

Inafika miezi mitano sasa nasumbuliwa na koo.
Tegeta Kibaoni hiyo hosp wanaita..Kitengule.
Ukija pm nitakupa hadi jina la Dr.
 
Khuzema kama sikosei pia yupo CCBRT private clinic. Inasemekana nae ni mzuri sana
Alinitibisha wala sikupona, madawa kibao na operation juu. Ekenywa ndio mpango mzima, Mungu anawatumia wale madaktari kufanya uponyaji
 
Alinitibisha wala sikupona, madawa kibao na operation juu. Ekenywa ndio mpango mzima, Mungu anawatumia wale madaktari kufanya uponyaji
EKENYWA WANA SPECIALIST WA MASIKIO?
 
Nenda kibaha DR OLE LENGINE MEMORIAl HOSPITAL muone mmiliki wa hospital Dr Emmanuel ole lengine ndio huyo huyo wenye ekenywa nimzuri sana kitabibu

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom