tashyno abas
Member
- Jul 8, 2015
- 12
- 8
Mtafute dokta goodlove mfuko muhimbili mloganzilaNitapata wapi specialist wa koo mzuri Dar es Salaam.
Inafika miezi mitano sasa nasumbuliwa na koo.
Missing of diagnosis it depends on history and symptoms and not HospitalNitapata wapi specialist wa koo mzuri Dar es Salaam.
Inafika miezi mitano sasa nasumbuliwa na koo.
Nitapata wapi specialist wa koo mzuri Dar es Salaam.
Inafika miezi mitano sasa nasumbuliwa na koo.
Nikiongea naisi maumivuKoo limefanyaje ?
Mtafute dkt Khuzema. Ni mhindi yupo saifee hospital.Nitapata wapi specialist wa koo mzuri Dar es Salaam.
Inafika miezi mitano sasa nasumbuliwa na koo.
Tegeta Kibaoni hiyo hosp wanaita..Kitengule.Nitapata wapi specialist wa koo mzuri Dar es Salaam.
Inafika miezi mitano sasa nasumbuliwa na koo.
Nimekutmia pmNipe namba ako kaka
Naunga mkono hoja.Nenda Ekenywa, Magomeni..
Khuzema kama sikosei pia yupo CCBRT private clinic. Inasemekana nae ni mzuri sanaMtafute dkt Khuzema. Ni mhindi yupo saifee hospital.
Nenda Ekenywa Magomeni Dr ZephaniahNitapata wapi specialist wa koo mzuri Dar es Salaam.
Inafika miezi mitano sasa nasumbuliwa na koo.
Alinitibisha wala sikupona, madawa kibao na operation juu. Ekenywa ndio mpango mzima, Mungu anawatumia wale madaktari kufanya uponyajiKhuzema kama sikosei pia yupo CCBRT private clinic. Inasemekana nae ni mzuri sana
EKENYWA WANA SPECIALIST WA MASIKIO?Alinitibisha wala sikupona, madawa kibao na operation juu. Ekenywa ndio mpango mzima, Mungu anawatumia wale madaktari kufanya uponyaji
ENTEKENYWA WANA SPECIALIST WA MASIKIO?